Huu ni ugonjwa gani

Huu ni ugonjwa gani

tupe mrejesho mkuu shebination
Kijana alikutwa na chlamydia. Kwa sasa anaendelea vizuri.
IMG_20190402_105406~3.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kijana ni muhuni basi! Ana umri gani kwani?

Chanzo kikubwa cha huo ugonjwa ni kwa njia ya kujamiiana.
19 mkuu.hata yeye mwenyewe baada ya kuomba msaada humu nilimuuliza akanijibu kwa uwazi kabisa. Bt nashkuru kwa msaada wa wana jf kijana anaendelea vizuri na dozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom