Fizzo kidari
New Member
- Mar 10, 2019
- 2
- 0
Nimekumbwa na miwasho sehemu za mwili hasa kwenye maungio sehemu za tumbo na kwenye mapaja bila vipele isipokuwa vipele vimetoka kwenye makende na kwenye mashine(uume). Vinawasha mno nikivichokoza na raha kuvikuna.
Hali hii haijaanza leo na nimeshapata vipimo zaidi ya mara moja ila havikuja na majibu yoyote na nimetumia dawa tofauti ila dawa za mwisho zilikuwa ni hizi:
CLARIX
NITROFURANTOIN
BEPROSALIC(hii ni ya kupaka)
Zikanipa matokeo mazuri vile vipele kwenye uume vikapotea na miwasho ikaisha ila baada ya muda kidogo baada ya kumaliza dawa vile vipele vimerudi sio vyote wala haviwashi sana kama mwanzo na ni kwenye uume tu kwingine miwasho imekwisha kabisa. Hospitali nilipima VDRL na HIV ila vipimo havikuwa na shida na ni zaidi ya mara moja. Havinipi homa zaidi ya kuwasha
Sent using Jamii Forums mobile app