Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
wadau hebu nisaidieni,huyu ndugu yangu ana dalili hizi; anaumwa joint za magoti,anaishiwa nguvu,akiwa na njaa anahisi kutetemeka,anapungua wakati mwingine mwili wake unarudi kama kawaida.mara nyingi sana amewahi kupimwa amekuwa akikutwa na u.t.i na malaria.amekula dawa sana.ameshapima ukimwi kama mara tano hivi na sukari vyote hana,yaani maumivu ya joint,kuishiwa nguvu na kupungua ndo imekuwa sehemu ya maisha yake,je ni ugonjwa gani huo wanajamvi? Natanguliza shukurani