Huu ni ujanja au ushamba?

Huu ni ujanja au ushamba?

🤣🤣🤣🤣 Hatareeee!!!
Nao hata kwa kumuangalia tu unajua huyu mtu hawezi kulipa bill, wanakubalije kutolewa lunch?? Hapo ilitakiwa huyo dada amwambie muhudumu achukue pesa kabisa.!!
 
🤣🤣🤣🤣 Hatareeee!!!
Nao hata kwa kumuangalia tu unajua huyu mtu hawezi kulipa bill, wanakubalije kutolewa lunch?? Hapo ilitakiwa huyo dada amwambie muhudumu achukue pesa kabisa.!!
Nilitaka kuandika comment kama yako yaani sura ya kidume inaonesha kabisa kajitahidi kulipa bill labla soda😃😃😃
 
Mtu asiye na pesa hata avae kitu gani atajulikana tyuuu..!! Wengine tuna macho ya rohoni 🤣
Wewe Lamomy Wewe usiseme hivoo futa mdomo huoo 🤣🤣🤣
Kuna matapeli Wana pumzi za Kipchoge Lamomy.....yaani anahakikisha lazima ujae tu na bili utaclear na kujikimu utampa mwenyewe
 
Back
Top Bottom