Huu ni ujanja au ushamba?

Huu ni ujanja au ushamba?

Wifi kwann hutaki kwenda na rafiki yako?? πŸ˜‚πŸ˜‚
Nishajua unamtengenezea mazingira kaka ili umuharibie uvulana wake πŸ˜œπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
My Wii ninaaibu sana aisee Huwa Sina confidence ya kuongea kukiwa na watu wengi ila tukiwa wawili sawa

Kakaako simbaki aje tu mwenyew πŸ˜€
 
My Wii ninaaibu sana aisee Huwa Sina confidence ya kuongea kukiwa na watu wengi ila tukiwa wawili sawa

Kakaako simbaki aje tu mwenyew πŸ˜€
Wifi una kitu wewe!! 🀣🀣🀣
Unaonekana mtundu mtundu sana!! Kaka yangu atatelekeza ukoo akahamia kwa ubenani πŸ˜‚
 
Plot hole kwenye script..
1..dada anaonekana anatumia smartphone so obviously restaurant wangechukua smartphone zao badala ya kuwapeleka polisi na kutumia gharama zaidi, wakileta pesa kesi imeisha.
So muandaaji hapo angeweka kisimu cha buku 12 siyo hiyo..

But all in all, jamaa is the legend.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jaman au n wewe
Mi sina hata kamchumba πŸ˜‚
Labda tupendane alafu ndio uniache
 
🀣🀣🀣🀣 Hatareeee!!!
Nao hata kwa kumuangalia tu unajua huyu mtu hawezi kulipa bill, wanakubalije kutolewa lunch?? Hapo ilitakiwa huyo dada amwambie muhudumu achukue pesa kabisa.!!
Hiyo ni madhereu πŸ˜‚
Na wao wanakosaje afu 3 x 2?
 
Back
Top Bottom