Huu ni ujanja au ushamba?

Huu ni ujanja au ushamba?

Yani kitu nachukia ni kuitwa sehemu niende na rafikiyangu na hata tukiwa tuna safari moja lkn lazima nimwambie aende tutakutana huko mbele
Wenzio wanapenda mfuatane kama mitume wa Yesu.
 
Plot hole kwenye script..
1..dada anaonekana anatumia smartphone so obviously restaurant wangechukua smartphone zao badala ya kuwapeleka polisi na kutumia gharama zaidi, wakileta pesa kesi imeisha.
So muandaaji hapo angeweka kisimu cha buku 12 siyo hiyo..

But all in all, jamaa is the legend.
Ni kufikisha ujumbe.
 
Kwani mdoli au pochi ni sehemu ya mavazzi mkuu? Kwenda uchi ndio ushamba lakini kutioka plain kwa mwanamke ni kawaida sana. Haya mambo ya kubeba vipochi kila mahali yamewafanyza wanawake kuwa watumwa
 
Kwani mdoli au pochi ni sehemu ya mavazzi mkuu? Kwenda uchi ndio ushamba lakini kutioka plain kwa mwanamke ni kawaida sana. Haya mambo ya kubeba vipochi kila mahali yamewafanyza wanawake kuwa watumwa
Sijui sijakuelewa
 
Kabisa mkuu nikikaangalia kabinti kangu na hili wimbi la wahuni na ugumu wa maisha , ndio napata hasira yakukawekezea ,vitu ambavyo hata kuja kubabaishwa na vigari used hata siku moja.
Hakikisha unamtafutia na wa kumuoa kama atahitaji, kama anapenda kuwa single mother it's Ok
 
Back
Top Bottom