Chenua Nkuchebe
Member
- Jul 18, 2017
- 90
- 119
Daah. Siyo kwa pesa hiyo bhana.Umejua alivyo invest ktk boxing!!
Miaka mingapi
Vikwazo vingapi
Fedha kiasi gani
Kumbuka hili ni pambano lake la 50!
Acha ujinga!
DJ sepetu
Mkuu hata wewe unaweza shika huo mkwanja ukiamua tena ktk kilimo hichohicho cha tikitimajiDaah. Siyo kwa pesa hiyo bhana.
[emoji23]Mkuu hata wewe unaweza shika huo mkwanja ukiamua tena ktk kilimo hichohicho cha tikitimaji
DJ sepetu
Ni kweli ila siyo wakati huu.. Mpaka huyu mzee aondoke. Sioni umuhimu wa wakulimaMkuu hata wewe unaweza shika huo mkwanja ukiamua tena ktk kilimo hichohicho cha tikitimaji
DJ sepetu
ila kama tuu ataacha kuwa muosha rungu kama weweMkuu hata wewe unaweza shika huo mkwanja ukiamua tena ktk kilimo hichohicho cha tikitimaji
DJ sepetu
Kuona point yako ya kwanza tangu na tanguUmejua alivyo invest ktk boxing!!
Miaka mingapi
Vikwazo vingapi
Fedha kiasi gani
Kumbuka hili ni pambano lake la 50!
Acha ujinga!
DJ sepetu