asaprichie
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 297
- 238
hapana uhakika uko mfukoni mwakouna uhakika na ulichokiandika
Umetokwa povu,kisha umeongea upuuzi mtupu.watu wanaojifanya huu mziki ni wakwao na wakawapa viburi baadhi ya wasanii walio kwenye imaya zao ndio wanaotusumbua,Dimond hajamtoa yeyote hapa bongo na wala asipate kiburi bila hao wanamfanya ajishembendue kusengekua na WCB na kujisifu amewatoa wasanii.
Tukumbushane THT iliyokua na wasanii wengi lakini mwenye kipaji cha uhakika ni Barnaba peke wengine wote walikua wazugaji tu,kila aliyepiga nyimbo na Barnaba alivuma akiwemo Amin,Linah na Pipi, leo wakowapi....Kumbe THT ya wanaojifanya huu mziki ni wakwao ndo iliwatoa na ilikua ikiwabeba nA SIO BARNABA..kwa hiyo Mond asivimbe kichwa mziki wa bongo na harakati zake tunazijua vizuri.
Unachuki binafsiKwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla
Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka
Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani
Enzi za mama mwenye nyumba nk
Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu
nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia
Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka
Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa
Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi
Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo
Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic
Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa
Fikilia hizo tabia angekuwa nazo
Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika
Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
Hayo ndo maono Mungu aliyonirudhuku kuyafikilia kulingana na uwezo wangu nawe una ruksa ya kutupanua mawazo tujue tusivyo jaaliwa kuvifikiri.Umetokwa povu,kisha umeongea upuuzi mtupu.
Sorry, mimi SIPO TIMU YYT ya muziki, ila ni shabiki wa timu ya Arsenal.mhh! mtu ambaye:-
1. kawatoa wasani wawili mavumbini hadi kuwa mastaa wakubwa kuliko baadh ya waliokaa kwenye game miaka kumi na ushee...
2. ameajiri vijana si chini ya thelathini na kuwalipa mishahara kiasi cha kujenga na kumilika usafiri...
3. ameweza kuleta mapinduzi ya mziki kuwa biashara (kuongeza thaman ya msanii)
4.. N.K
HAYA NGOJA TUWE MAKINI NAYE BASI MKUU
nimegundua kumbe nabishana na mtu ambaye sijui hufuatilii muziki au wivu tu, au umeamua tu kumchafua mtu bila sababu ya msingiHao uliowataja mavoko,rayvan na hamonize umewasikia wanafanya shoo? Ni moja au mbi na zikizid ni tatu kw mwaka? Unajua maana yake ni nn?