Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Uko kununua ni uvumi wa walioshindwa hakuna ukwel wowote.Tuzo za diamond and his companies wananunua brother kwa sasa hatuna iman nazo tena. Sory for that boss
Kulingana na ninavyoisikia vituo mbali mbali vya redio inachezwa mara nyingi zaidi, lkn point yangu ilikuwa kumuelewesha yule jamaa juu kule alisema eti Muziki ya Darasa inafanyiwa figisu isihit. Moj kwa moj nikajua atakuwa hater tu na anaposema mleta figisu anamlenga Diamond na team yakeLete kigezo ulichokitumia ............(Kumbuka hatutaki kuongea hisia,ila kitu ambacho unaushahidi wa unachokisema.)
Nilikua nazungumzia anae dhani kwamba yule bwana ana power kama anavyojiona yeye anakosea, wakati nyuma ya panzia wapo watu wanaompa ile power na akawaona wengine takataka,pengine kipaji chake si chochote si lolote bila hiyo power ya watu flaniflani ndipo nikamtaja Barnaba alivyowatoa wenzie kwa asilimia ndogo ya kipaji chake na asilimia kubwa ya hiyo power ilhal hao aliowatoa hawana kipaji inawezekan hata anaojisifu amewatoa hawana vipaji sema wamepambwa manjonjo plus hiyo power basi akaah wananoga tu maskioni mwetu.Mungu huwa hawajalii watu wake kuongea chuki,ila anawajaria busara na hekima. Wewe unadhani leo hii ukiwauliza timu yake nzima ya WCB,ndugu jamaa na marafiki zake wa karibu na watu wote ambao DIAMOND kawasaidia watakuona wewe ni mtu wa namna gani,kwa kumzungumzia mtu aliyewasaidia vile ....???
mliwahi kukutana kwa waganga nawatu wa aina hiyo kutafuta ushirikinaKuna kitu kinaitwa Muziki by darassa ft Ben Pol, yaaani kwa jins ngoma ilivyo kali na haihit kiviiileee ndo huwa naamini huenda figisu + ushirikina ndo vinaitawala industry nowadays
Fatilia interview za kiba zen ndo uje apa LA sivyo utakuwa unaongozwa na mihemukoUkitaka kujua huyu mtoto wa Tandale hana maana na nina muunga mkono mleta mada ni kwa haya yafuatayo:-
1.Sijawahi kumsikia Ali Kiba akimzungumza Diamond zaidi ya lile sakata la kuzimiwa mike Mombasa. Lakini yeye kafanya diss track dhidi ya kiba zaidi ya mara moja.Alimdiss kiba kwa beat ya Fat Joe all the way up na sasa kamdiss kwenye kokoro.
2.Aliyeanza kupost diss Instagram ni Diamond then Ommy akafuata kwa kusema mziki wa ujanja ujanja.Lakini cha kushangaza alidisiana naye Insa ni Ommy lakini kama ulisikiliza interview yake kamdiss sana Kiba pia.
Sasa kwanini watu wasiseme kuwa Diamond hapendi maendeleo ya wengine!!
Kitu cha kishangaza zaidi watu walio wengi wameegemea upande mmoja.Wanadai Kiba anatafuta Kik kupitia Diamond. Kama hili lingekuwa kweli tungekuwa tunamuona Ali Kiba akimtaja,kumjibu au kumdiss Diamond lakini Kiba yupo kimya siku zote.Sasa nani kati yao anayetaka Kik kama sio huyu Diamond ambaye haishi kutoa diss track dhidi ya kiba pamoja na kumsema kwenye interviews.
Huyo Kijana ni hatari Sana amekuwa akinunua tuzo ikapelekea wasanii wengine kukata tamaa na wengine kufa kwa madawa wakitaka kushindana nae. Alert ulioitowa wenye akiri ndo wataielewa. Jamaa yupo tayari kupambana ili wenzie wasitoke. Kawachukuwa kina rayvan ili wamsitili maana kwa sasa hana kipya katika gem.
Kwenye Sporah Kiba aliulizwa naye akasema anarudi kusafisha kiti chake cha ufalme na kuketi tena.what's wrong with that ?Fatilia interview za kiba zen ndo uje apa LA sivyo utakuwa unaongozwa na mihemuko
Kaangalie sporah show ya kipindi kiba anarudi kwny game na wimbo wake wa Mwana uone jinsi alivokuwa ana mdis mond,
Hapo ndo shida yetu watanzania. Mtu ukimuajiri umemsaidia au mnasaidiana maana hawalipi bure wanafanya kazi na wanalipwa stahik zao. Mfano kina rayvan kawasaidia au wanasaidiana?