Huu ni ujumbe kwa Wasanii wote wa mziki, Diamond hafai kuweni naye makini

Huu ni ujumbe kwa Wasanii wote wa mziki, Diamond hafai kuweni naye makini

Diamonds are forever mtaongea sana ila yule ndo king wa bongo fleva,, huyu mtu hata sehemu za ibada anatajwa!!!!!!! Acheni unafiki kwa mtu ambae kila sehemu wasanii wenzie wanampongeza ndani na nje ya nchi.
 
Tuzo za diamond and his companies wananunua brother kwa sasa hatuna iman nazo tena. Sory for that boss
Uko kununua ni uvumi wa walioshindwa hakuna ukwel wowote.
 
Asaidie wangap?? Unalala bwiiii!! Unashtuka kumekucha ooh!! Nataka nikalie kiti changu!! Kwani nchi ya ukoo wenu hii??
 
Lete kigezo ulichokitumia ............(Kumbuka hatutaki kuongea hisia,ila kitu ambacho unaushahidi wa unachokisema.)
Kulingana na ninavyoisikia vituo mbali mbali vya redio inachezwa mara nyingi zaidi, lkn point yangu ilikuwa kumuelewesha yule jamaa juu kule alisema eti Muziki ya Darasa inafanyiwa figisu isihit. Moj kwa moj nikajua atakuwa hater tu na anaposema mleta figisu anamlenga Diamond na team yake
 
Ukitaka kujua huyu mtoto wa Tandale hana maana na nina muunga mkono mleta mada ni kwa haya yafuatayo:-
1.Sijawahi kumsikia Ali Kiba akimzungumza Diamond zaidi ya lile sakata la kuzimiwa mike Mombasa. Lakini yeye kafanya diss track dhidi ya kiba zaidi ya mara moja.Alimdiss kiba kwa beat ya Fat Joe all the way up na sasa kamdiss kwenye kokoro.
2.Aliyeanza kupost diss Instagram ni Diamond then Ommy akafuata kwa kusema mziki wa ujanja ujanja.Lakini cha kushangaza alidisiana naye Insa ni Ommy lakini kama ulisikiliza interview yake kamdiss sana Kiba pia.

Sasa kwanini watu wasiseme kuwa Diamond hapendi maendeleo ya wengine!!

Kitu cha kishangaza zaidi watu walio wengi wameegemea upande mmoja.Wanadai Kiba anatafuta Kik kupitia Diamond. Kama hili lingekuwa kweli tungekuwa tunamuona Ali Kiba akimtaja,kumjibu au kumdiss Diamond lakini Kiba yupo kimya siku zote.Sasa nani kati yao anayetaka Kik kama sio huyu Diamond ambaye haishi kutoa diss track dhidi ya kiba pamoja na kumsema kwenye interviews.
 
Mungu huwa hawajalii watu wake kuongea chuki,ila anawajaria busara na hekima. Wewe unadhani leo hii ukiwauliza timu yake nzima ya WCB,ndugu jamaa na marafiki zake wa karibu na watu wote ambao DIAMOND kawasaidia watakuona wewe ni mtu wa namna gani,kwa kumzungumzia mtu aliyewasaidia vile ....???
Nilikua nazungumzia anae dhani kwamba yule bwana ana power kama anavyojiona yeye anakosea, wakati nyuma ya panzia wapo watu wanaompa ile power na akawaona wengine takataka,pengine kipaji chake si chochote si lolote bila hiyo power ya watu flaniflani ndipo nikamtaja Barnaba alivyowatoa wenzie kwa asilimia ndogo ya kipaji chake na asilimia kubwa ya hiyo power ilhal hao aliowatoa hawana kipaji inawezekan hata anaojisifu amewatoa hawana vipaji sema wamepambwa manjonjo plus hiyo power basi akaah wananoga tu maskioni mwetu.
 
Kuna kitu kinaitwa Muziki by darassa ft Ben Pol, yaaani kwa jins ngoma ilivyo kali na haihit kiviiileee ndo huwa naamini huenda figisu + ushirikina ndo vinaitawala industry nowadays
mliwahi kukutana kwa waganga nawatu wa aina hiyo kutafuta ushirikina
kama jibu ni hapana wewe umejuaje.

Au tuchukulie swala hilo kuwa ni la kweli....
yaani uwafanyie ushirikina mashabiki nchi nzima
uwafanyie ushirikina watu wa radio station
uvuke mipaka nchini kenya congo n.k kote huko uwafanyie ushirikina wadau wa muziki wakupende wewe tu hata wasisikilize miziki ya kina ben p?

haya yatakuwa maajabu ya karne
 
Nilihisi hivyo baada ya kusikia interview yake ya juzi,ni kama kuna kitu kinamkereketa akiona kina flan wametoa wimbo
 
Ukitaka kujua huyu mtoto wa Tandale hana maana na nina muunga mkono mleta mada ni kwa haya yafuatayo:-
1.Sijawahi kumsikia Ali Kiba akimzungumza Diamond zaidi ya lile sakata la kuzimiwa mike Mombasa. Lakini yeye kafanya diss track dhidi ya kiba zaidi ya mara moja.Alimdiss kiba kwa beat ya Fat Joe all the way up na sasa kamdiss kwenye kokoro.
2.Aliyeanza kupost diss Instagram ni Diamond then Ommy akafuata kwa kusema mziki wa ujanja ujanja.Lakini cha kushangaza alidisiana naye Insa ni Ommy lakini kama ulisikiliza interview yake kamdiss sana Kiba pia.

Sasa kwanini watu wasiseme kuwa Diamond hapendi maendeleo ya wengine!!

Kitu cha kishangaza zaidi watu walio wengi wameegemea upande mmoja.Wanadai Kiba anatafuta Kik kupitia Diamond. Kama hili lingekuwa kweli tungekuwa tunamuona Ali Kiba akimtaja,kumjibu au kumdiss Diamond lakini Kiba yupo kimya siku zote.Sasa nani kati yao anayetaka Kik kama sio huyu Diamond ambaye haishi kutoa diss track dhidi ya kiba pamoja na kumsema kwenye interviews.
Fatilia interview za kiba zen ndo uje apa LA sivyo utakuwa unaongozwa na mihemuko

Kaangalie sporah show ya kipindi kiba anarudi kwny game na wimbo wake wa Mwana uone jinsi alivokuwa ana mdis mond,
 
Mtoa uzi ungeanzia enzi za akina Sarehe Jabir, Kwanza Unit, the Diplomacy then Sugu ...
hapo ungesema unaujua huu muziki vema.
 
Huyo Kijana ni hatari Sana amekuwa akinunua tuzo ikapelekea wasanii wengine kukata tamaa na wengine kufa kwa madawa wakitaka kushindana nae. Alert ulioitowa wenye akiri ndo wataielewa. Jamaa yupo tayari kupambana ili wenzie wasitoke. Kawachukuwa kina rayvan ili wamsitili maana kwa sasa hana kipya katika gem.

Kakae ww kwenye nafasi yake uwapigie kelele watanzania na Africa mashariki toka 2008/2009 hadi 2016 waendelee kukusikiliza na ukae kwenye vichwa vyao [emoji1486][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji12].
 
Fatilia interview za kiba zen ndo uje apa LA sivyo utakuwa unaongozwa na mihemuko

Kaangalie sporah show ya kipindi kiba anarudi kwny game na wimbo wake wa Mwana uone jinsi alivokuwa ana mdis mond,
Kwenye Sporah Kiba aliulizwa naye akasema anarudi kusafisha kiti chake cha ufalme na kuketi tena.what's wrong with that ?
 
Hapo ndo shida yetu watanzania. Mtu ukimuajiri umemsaidia au mnasaidiana maana hawalipi bure wanafanya kazi na wanalipwa stahik zao. Mfano kina rayvan kawasaidia au wanasaidiana?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izo n akili za [emoji239].
 
Hebu tukumbuke na haka kamsemo "Penye riziki huwa hapakosi fitina".
 
Subiri waje sasa wateme povu hapa patakuwa hapatoshi... Ila huyu kijana alinishangaza aliposema ni msanii pekee asiyevaa pete za kijani wakati kwenye meza ya ofisini kwake ameweka sanamu za mafuvu... katika hili naona angekaa kimya tu kila mtu na starehe zake
 
Wimbo walioutoa na Mavoka,,,yani hauna fani kabisa! Yani no marudio ya maneno yakeyale...na wanajisanganya na video Kali kubeba wimbo!! Kama basta wapo fair kuna kosa la kimaadili pia! But namkubali kijana is doing the best,,,Ajitaidi kuwa creative hasa kwenye utunzi na kuja na melody tofauti tofauti kama hapo nyuma alivyofanya!
 
Muziki ni biashara....hakuna anaekubali biashara yake ianguke kisa kusaidia wengine tu.
Kama una kipaji utatoka tu..
 
Back
Top Bottom