Huu ni ujumbe kwa Wasanii wote wa mziki, Diamond hafai kuweni naye makini

Kwenye Sporah Kiba aliulizwa naye akasema anarudi kusafisha kiti chake cha ufalme na kuketi tena.what's wrong with that ?
Isikilize interview yote usiongizwe na ushabiki izi ni baadhi ya dis zake kwa mond

Kizuri kikikosekana hata kile kibaya huonekana kizuri apo nambie alikuwa anamlenga nani

Nakuja kufuta kiti.na kukikalia upya maana hakuna aliyekuwa amekikalia labda kilikuwa na vumbi nikufuta na kukaa upya

Usinifananishe na diamond labda mfananishe na abdul kiba ndo level zake na kama tuko kwny seat labda yy back seat

Na dis nying tu aliziolopoka ila kwa kuwa ww una chuki na domo huwezi kuziona, juzi kati kamdis mwenzie kuwa ni debe tupu haliachi kupiga kelele usiwe bias kaka
 
Wasaniii wa zamani gani unaosema kuwa hapendi waendeleee???? Dully yu wap mavoko nae je? Kuwa makini unaposema kitu
 
Uandishi wako tu hasa ulivyoanza hapo mwanzo utafikiri hujasoma kiswahili, Hamna cha koma wala nukta, kiukweli mimi sijakuelewa hasa ulivyoanza, kama vipi rudi shule mkuu
Huyu atakuwa team ileeee ile ya kina naniliu wale wenye kale ka mchezo. Manake wanakuja kwa speed sana.
 
Unataka awafanyie nini? Onesha na uelekeo kama anasoma ajue wapi kwenye mapungufu, cyo majungu
 
Mtu mbaya katika muziki wetu ni BABU TALE... Adhabu Yake afungwe jiwe zito atupwe kwenye kina kirefu cha bahari... Amewamaliza Tunda man. Kassim mganga. Zed anto.Mb dog.etc.. Naamini hata leo domo akimtosa atashuka kimuziki
 
Vijana 300..acheni kukuza mambo nyie wanaume wa dar
 
Tip top, AY, YAMOTO, Diamond &WCB wapo chini ya the same managers. Hivi hujawahi jiuliza kwann diamond na wasafi yake yuko mbali compared na hao wengine ilihali wote wapo chini ya the same managers???
kweli kabisa, hata baraka da prince na alikiba wako under same management. hivi hizo akili huwa mnashikiwa?
 
Watanzania tunapenda maendeleo ila tunawachukia wenye maendeleo.
 
muziki ni biashara,hivi kwa akili yangu hii ya darasa la pili,unafikir sijui kwa nini mengi na manji hawaelewan?najua kila mtu anajali maslahi yake.na ndio maana unaambiwa kila mtu ni mbinafsi.
 
He he muziki wa magazeti huu
 
Mmmmmmhh kuna watu mna roho za koroshooo khaaaa...
 
wewe wa dunia gani? pitia hapa

EXCLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake n…: then pitia interview ya kiba the sporah show ndio utajua kuwa kiba kachonga sana kuhusu chibu sema alikaliwa kimya tu.. zamu yao sasa acha awachane tu ila wawe na mioyo na WAP.
 
point.......mi .penda mafanikio yake hayupo.tena ktka kund la dependent

kuna watu WaPo humu ndani wamemlza chuo WaPo nyumban anaomba hela ya vocha halafu
Leo unamkandi diamond ni upumbuvu na ujinga.

Tujitambue watz ulitaka.abaki maskin kama wwe dah .

let's change (environment changes behaviour )kwahyo tubalke
 
Am only responsible for wat am saying not what you understand.. .....
 
Mleta mada alikuwa na maana nyingine kabisa ambapo watu wameshindwa kuielewa ajili ya kutawailiwa na ushahabiki usiokuwa na msingi.

Kwa kweli kwa hali hii hatuwezi kufauru hata pale tutakapojadili mambo ya msingi ya kitaifa kwa sababu ya mihemko isiyokuwa na tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…