wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Hater in disguise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isikilize interview yote usiongizwe na ushabiki izi ni baadhi ya dis zake kwa mondKwenye Sporah Kiba aliulizwa naye akasema anarudi kusafisha kiti chake cha ufalme na kuketi tena.what's wrong with that ?
Huyu atakuwa team ileeee ile ya kina naniliu wale wenye kale ka mchezo. Manake wanakuja kwa speed sana.Uandishi wako tu hasa ulivyoanza hapo mwanzo utafikiri hujasoma kiswahili, Hamna cha koma wala nukta, kiukweli mimi sijakuelewa hasa ulivyoanza, kama vipi rudi shule mkuu
Unataka awafanyie nini? Onesha na uelekeo kama anasoma ajue wapi kwenye mapungufu, cyo majunguKwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla
Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka
Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani
Enzi za mama mwenye nyumba nk
Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu
nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia
Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka
Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa
Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi
Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo
Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic
Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa
Fikilia hizo tabia angekuwa nazo
Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika
Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
Vijana 300..acheni kukuza mambo nyie wanaume wa darAnayeongea anaishi kwa mama bado...unayemsema kajenga jumba na kanunua jumba jingine south....kawapa ajira vijana zaid ya 300...lakin baba ako na mama ako hawajafanya kitu chochote. Hata kutoa ajira kwa kijana wao mpendwa hamna zaidi umebarikiwa chuki kwenye mitandao
kweli kabisa, hata baraka da prince na alikiba wako under same management. hivi hizo akili huwa mnashikiwa?Tip top, AY, YAMOTO, Diamond &WCB wapo chini ya the same managers. Hivi hujawahi jiuliza kwann diamond na wasafi yake yuko mbali compared na hao wengine ilihali wote wapo chini ya the same managers???
He he muziki wa magazeti huumhh! mtu ambaye:-
1. kawatoa wasani wawili mavumbini hadi kuwa mastaa wakubwa kuliko baadh ya waliokaa kwenye game miaka kumi na ushee...
2. ameajiri vijana si chini ya thelathini na kuwalipa mishahara kiasi cha kujenga na kumilika usafiri...
3. ameweza kuleta mapinduzi ya mziki kuwa biashara (kuongeza thaman ya msanii)
4.. N.K
HAYA NGOJA TUWE MAKINI NAYE BASI MKUU
wewe wa dunia gani? pitia hapaUkitaka kujua huyu mtoto wa Tandale hana maana na nina muunga mkono mleta mada ni kwa haya yafuatayo:-
1.Sijawahi kumsikia Ali Kiba akimzungumza Diamond zaidi ya lile sakata la kuzimiwa mike Mombasa. Lakini yeye kafanya diss track dhidi ya kiba zaidi ya mara moja.Alimdiss kiba kwa beat ya Fat Joe all the way up na sasa kamdiss kwenye kokoro.
2.Aliyeanza kupost diss Instagram ni Diamond then Ommy akafuata kwa kusema mziki wa ujanja ujanja.Lakini cha kushangaza alidisiana naye Insa ni Ommy lakini kama ulisikiliza interview yake kamdiss sana Kiba pia.
Sasa kwanini watu wasiseme kuwa Diamond hapendi maendeleo ya wengine!!
Kitu cha kishangaza zaidi watu walio wengi wameegemea upande mmoja.Wanadai Kiba anatafuta Kik kupitia Diamond. Kama hili lingekuwa kweli tungekuwa tunamuona Ali Kiba akimtaja,kumjibu au kumdiss Diamond lakini Kiba yupo kimya siku zote.Sasa nani kati yao anayetaka Kik kama sio huyu Diamond ambaye haishi kutoa diss track dhidi ya kiba pamoja na kumsema kwenye interviews.
point.......mi .penda mafanikio yake hayupo.tena ktka kund la dependenttimu yko ishajulkana uzi wa kishabiki kabsa....me ofcoz cmkubali kbs diamond ila napenda baadh ya nyimbo zke...dogo anajituma sn lkn wasanii wenzake mara nying ndo uwa wanaanza kumchokonoa chokonoa....alikua anakaa kimya ila hili la dimpoz ikabd alijibu kwa kupanic na matuc.....apo alikosea sn na alinkera sn kujibishana
Am only responsible for wat am saying not what you understand.. .....mliwahi kukutana kwa waganga nawatu wa aina hiyo kutafuta ushirikina
kama jibu ni hapana wewe umejuaje.
Au tuchukulie swala hilo kuwa ni la kweli....
yaani uwafanyie ushirikina mashabiki nchi nzima
uwafanyie ushirikina watu wa radio station
uvuke mipaka nchini kenya congo n.k kote huko uwafanyie ushirikina wadau wa muziki wakupende wewe tu hata wasisikilize miziki ya kina ben p?
haya yatakuwa maajabu ya karne