Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Hakuna nchi inayoweza kupiga hatua kubwa za kimaendeleo endapo SIASA zake zinalipa kuliko VIWANDA VYAKE,Katika nchi ambayo Wanasiasa ni matajiri Kuliko Wafanyabiashara na wajasiriamali, hapo ni lazima umaskini utanawiri tuu!!!
Hayaa ni maoni yangu baada ya kukaa na kutafakari jinsi watu wengi tena wenye Utaalamu na nyadhifa mbalimbali wanavyonyukana ili kuingia Bungeni, utaona Viongozi wa Dini,Madaktari,Ma Profs, hata wafanyabiashara wakubwa woteee hawa wanataka kuingia kwenye Siasa, UKIJULIZA NI KWA NINI??? We jua kuwa kwa sasa hii ni biashara inayolipa sanaa Nchini kwetu kuliko mchongo mwengine wowote, unachukua mamilioni kila mwisho wa Mwezi na T.R.A hawakusumbuii kwa loloteeee 😂😂😂
Japo ni haki ya kila Raia ila hofu yangu ni kuwa Wadogo zetu na watoto wetu ambao wapo mashuleni wakiwa na ndoto za kuja kuwa Madaktari na Waalimu, wakiamini ni kazi nzuri kumbe uhalisia kwa sasa ni tofauti sana, yaan ni bora tuu tuanzee kuwaanda waje kuwa wanasiasa maana hata hao marol models wao wamekimbia mahospitalini , makanisani,misikitini na mashuleni na sasa wanawaza kwenda kuapishwa DODOMA mwisho wa mwaka huu.
TANZANIA YETUUU......