Huu ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana. Tangu lini mchezaji akatambulishwa kwenye mkutano wa uchaguzi?

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Soka la Bongo bwana, eti mchezaji katambulishwa kwenye mkutano wa uchaguzi, tena tunaambiwa alicheza Newcastle, mbona Saido Ntibazonkiza alicheza Ulaya, kipi cha maana alichofanya, tuache sanaa, huyo Bigirimana kama mtu kweli ataonekana dimbani, uwe fundi wa mpira ulaya halafu uje Bongo, kweli wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa.

Utopolo mambo ya kutambulisha mchezaji kwenye mikutano ni mambo ya kishamba kabisa.
 
Aisee [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unateseka ukiwa wapi?

Kuna kosa lipi kutanbulisha mchezaji hata kwenye Maulid?
 
Alex Song Yuko wapi saiz na wakat kacheza EPL,la Liga,ligue one
 
Uto... wameokota Dodo chini ya mpera
 
Wewe mkeo au mmeo ulimtambulisha chooni?
 

Vilabu vyetu bado hawajajua branding strategy.
Brading strategy ni mkakati wa kuifaharisha(fahari) bidhaa yako.

Kwa hiyo vilabu vina bidha(product) kama vile jezi, mchezaji na jina la kilabu.

Vinatakiwa kuzipromoti bidha zao kibiasha zaidi na kuziongezea thamani, kama vile kuziwekea siku maalumu kwa ajili ya utambulisho.

Naona walau simba anajitahidi kufanya hivo kwa ajili ya kuweka attention mashabiki na wadau wa michezo.
Naomba sana izi vilabu waajiri watu special wanaojua branding ilikusudi kuziongezea thamani vilabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…