The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Hawachoki hao wanapumzika usiku vizuri tuwakishamuingiza rais ndani wanaenda pumzika..Namuonea huruma sana huyu dada Hadi hizi kampeni ziishe atakuwa amechoka sana
Rais anatakiwa awe fiti. Anaweza kuwa na ratiba ya siku nzima yupo kazini akifungua semina, akihutubia mikutano ya hadhara. Inambidi awe fiti. Samia mle ikulu anafanya mazoezi ya viungo.Hawachoki hao wanapumzika usiku vizuri tuwakishamuingiza rais ndani wanaenda pumzika..
Kwa mchana wanatumia vinywaji vya kuwaeka.ACTIVE yeye na Rais hutokaa uaaone wanasinzia hata kama tukio litaanza asubuhi hadi usiku saa 1 hawasinziii maana wana booster
You’re The bump 🤦🏾♂️Hamna ulinzi wowote hao ni kwa ajili ya kumdaka rais akijikwaa,ukitaka dondoka kwa ugonjwa,uchovu nk ila hao sio wa ulinzi direct kama tudhaniavyo.
Lakini pia ni mtu ambae anakua tayri kwa ajili ya kupokea maelekezo ya kitaalamu/usalama namna ya kumwokoa Rais endapo itatokea ambush.
Assume zimeanza kulia papapa huyo ndie atamuwahi rais kumshika mkono na kumwambia twende huku pita kule,ingia hapa nk,
Ana UMUHIMU sana kwa nchi zetu za Africa zisizo na uwezo wa kuimarisha ulinzi wa MARAIS kwa 100%.
Kwa wenzetu rais analindwa na mitambo watu wanaangalia na kulinda mazingira aliyopo RAIS point hadi point tofaut na huku kwetu..
RAIS sio Mtu wa Kawaida
Ni nembo ya Taifa Ile
Ukitaka ujue RAIS ni kitu cha thamani, angalia pesa zinazomwagika michakato inayofanyika mpk kumpata RAIS
HII mipesa yote ikusanye iweke katika Kitu kimoja..
Hiyo ndio THAMANI ya RAIS zidisha mara 5 utajua kwann ni lazima alindwe.
So kuwepo kwa mmoja tu haitoshi..Check Kiduku wa KOREA gari yake inazingirwa na USALAMA wangapi.
Mwamba ana kifafa alianguka mara mbili jukwaani wakati wa kufunga kampeni.Hao watu wana siri nyingi sana. Wewe waache tu wasimame. Kuna jamaa mmoja mcheka na njia, enzi hizo aliwahi kuanguka kimasihara tu mbele ya kadamnasi baada ya msaidizi wake kuchelewa kumshika! Na hivyo kuzua gumzo kubwa kwa wananchi walio shuhudia lile tukio.
Pamoja na ulinzi wote JAMAA ALIFIA MZENA na kuwaacha walinzi wanatafuna MIHOGOHamna ulinzi wowote hao ni kwa ajili ya kumdaka rais akijikwaa,ukitaka dondoka kwa ugonjwa,uchovu nk ila hao sio wa ulinzi direct kama tudhaniavyo.
Lakini pia ni mtu ambae anakua tayri kwa ajili ya kupokea maelekezo ya kitaalamu/usalama namna ya kumwokoa Rais endapo itatokea ambush.
Assume zimeanza kulia papapa huyo ndie atamuwahi rais kumshika mkono na kumwambia twende huku pita kule,ingia hapa nk,
Ana UMUHIMU sana kwa nchi zetu za Africa zisizo na uwezo wa kuimarisha ulinzi wa MARAIS kwa 100%.
Kwa wenzetu rais analindwa na mitambo watu wanaangalia na kulinda mazingira aliyopo RAIS point hadi point tofaut na huku kwetu..
RAIS sio Mtu wa Kawaida
Ni nembo ya Taifa Ile
Ukitaka ujue RAIS ni kitu cha thamani, angalia pesa zinazomwagika michakato inayofanyika mpk kumpata RAIS
HII mipesa yote ikusanye iweke katika Kitu kimoja..
Hiyo ndio THAMANI ya RAIS zidisha mara 5 utajua kwann ni lazima alindwe.
So kuwepo kwa mmoja tu haitoshi..Check Kiduku wa KOREA gari yake inazingirwa na USALAMA wangapi.
Samia anaweza tumia mitutu yote ya silaha binafsi usimuone pale alipo kuna namna yupo fiti.Rais anatakiwa awe fiti. Anaweza kuwa na ratiba ya siku nzima yupo kazini akifungua semina, akihutubia mikutano ya hadhara. Inambidi awe fiti. Samia mle ikulu anafanya mazoezi ya viungo.
Ile ni MISSION PLANED na ndio mana tunasema nchi zetu za Africa hatujawekeza Bajeti katika ULINZI wa ma RAIS bado kuna Loopholes nyingi ambazo MAFIA wakiamua wanazitumia kama ya MZENA.Pamoja na ulinzi wote JAMAA ALIFIA MZENA na kuwaacha walinzi wanatafuna MIHOGO
Bajeti ingekuepo Nchi ingetakiwa kuwa na HOSPITAL ya kutibu Viongozi NYETI tuPamoja na ulinzi wote JAMAA ALIFIA MZENA na kuwaacha walinzi wanatafuna MIHOGO