Huu ni Unyanyasaji kwa Madereva wa Taxi Mtandao

schipwe

New Member
Joined
Sep 9, 2026
Posts
1
Reaction score
1
Gari ya tax mtandao haiwezi kupata kibali cha LATRA mpaka ikakaguliwe na police na utaweza kupataLATRA na zoezi hili hufanyika kila mwaka kibali kinapoisha.

Na ukiachilia hilo mwezi ulioisha wa tulikuwa na ukaguzi wa Lazima wa nenda kwa usalama .Lakini cha kushangaza mwekezaji kwa kuwa tu ameliteka soko ana wateja wengi anaamua kutunyanyasa madereva kwa kutushurutisha tukakagurishe magari na tusipofanya hivyo anafunga account zetu ili tusifanye biashara.

Naomba kujua kutoka kwa maamlaka ya Jeshi la Polisi na Latra kama ukaguzi uliofanywa na jeshi la polis ni batili au huyu mwekezaji anamaanisha yeye yuko juu ya sheria anaweza fanya chochote anachosikia

1000933544.jpeg
 
View attachment 3671735

Hapo nimeona kama ni wao ndiyo Wanataka kujiridhisha juu ya Usalama wa Wateja wao mnaowabeba mkuu..

Kila mahali Kuna taratibu zake, siyo vibaya kuheshimu..
 
Gari ya tax mtandao haiwezi kupata kibali cha LATRA mpaka ikakaguliwe na police na utaweza kupataLATRA na zoezi hili hufanyika kila mwaka kibali kinapoisha.

Na ukiachilia hilo mwezi ulioisha wa tulikuwa na ukaguzi wa Lazima wa nenda kwa usalama .Lakini cha kushangaza mwekezaji kwa kuwa tu ameliteka soko ana wateja wengi anaamua kutunyanyasa madereva kwa kutushurutisha tukakagurishe magari na tusipofanya hivyo anafunga account zetu ili tusifanye biashara.

Naomba kujua kutoka kwa maamlaka ya Jeshi la Polisi na Latra kama ukaguzi uliofanywa na jeshi la polis ni batili au huyu mwekezaji anamaanisha yeye yuko juu ya sheria anaweza fanya chochote anachosikia

View attachment 3671735
Kama gari yako iko kwemye hali nzuri shida iko wapi? Wanajua huko polisi wala hampeleki gari mnanua sticker tu ndio maana wanajiridhisha kwasababu wanapata malalamiko kuhusu magari mabovu kutoka kwa wateja.
Mnaendesha magari mabovu sana. Nishapanda BOLT nyingi mbovu balaa,gari inavuma bearing inagonga chini kama katakana. Tengenezeni magari mkalaguliwe, kama ni ngumu acheneni na hao taxi mtandao kategeni mtaani wenyewe.
 
Back
Top Bottom