Gari ya tax mtandao haiwezi kupata kibali cha LATRA mpaka ikakaguliwe na police na utaweza kupataLATRA na zoezi hili hufanyika kila mwaka kibali kinapoisha.
Na ukiachilia hilo mwezi ulioisha wa tulikuwa na ukaguzi wa Lazima wa nenda kwa usalama .Lakini cha kushangaza mwekezaji kwa kuwa tu ameliteka soko ana wateja wengi anaamua kutunyanyasa madereva kwa kutushurutisha tukakagurishe magari na tusipofanya hivyo anafunga account zetu ili tusifanye biashara.
Naomba kujua kutoka kwa maamlaka ya Jeshi la Polisi na Latra kama ukaguzi uliofanywa na jeshi la polis ni batili au huyu mwekezaji anamaanisha yeye yuko juu ya sheria anaweza fanya chochote anachosikia
View attachment 3671735
Kama gari yako iko kwemye hali nzuri shida iko wapi? Wanajua huko polisi wala hampeleki gari mnanua sticker tu ndio maana wanajiridhisha kwasababu wanapata malalamiko kuhusu magari mabovu kutoka kwa wateja.Gari ya tax mtandao haiwezi kupata kibali cha LATRA mpaka ikakaguliwe na police na utaweza kupataLATRA na zoezi hili hufanyika kila mwaka kibali kinapoisha.