Huu ni upendeleo au mbona ngao ya jamii msimu huu ni mechi moja?

Huu ni upendeleo au mbona ngao ya jamii msimu huu ni mechi moja?

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,870
Reaction score
6,871
Kati ya misimu miwili au mitatu tumeona ngao ya jamii ikigombaniwa na timu nne ila msimu huu ni timu mbili. Kwamba ikionekana simba na yanga hawakutani kwenye hiyo mechi kanuni ya timu nne ndio inafuatwa.

Msimu mwingine timu ya Azam au Singida utd iliyostahili kucheza ngao ya jamii italaumiwa vipi ikigoma ikiwa kutakuwa na timu nne?
 
Twende mbele turudi nyuma au twende mbele tu Simba msimu huu utakua mgumu sana
 
Kati ya misimu miwili au mitatu tumeona ngao ya jamii ikigombaniwa na timu nne ila msimu huu ni timu mbili. Kwamba ikionekana simba na yanga hawakutani kwenye hiyo mechi kanuni ya timu nne ndio inafuatwa.

Msimu mwingine timu ya Azam au Singida utd iliyostahili kucheza ngao ya jamii italaumiwa vipi ikigoma ikiwa kutakuwa na timu nne?
Kwani msimu ulipita zilikutana timu ngapi?
 
Mechi ya ngao ya jamii ilipoanza ilikuwa bingwa wa shirikisho na bingwa wa ligi baadae wakaongeza timu na wadau pia walihoji kwanini timu zimekuwa eneo.
 
Safari hii sio timu nne maana aliyekuwa anatafutiwa nafasi (anabebwa) amekuwa wa pili. Simba wanabebwa!
 
Sikumbuki vizuri. Ila nakumbuka kuna misimu kama miwili timu nne ziligombania hiyo ngao.
Basi ufahamu Wallace Karia huwa anafanya hivyo kwa utashi wake. Akiamua msimu huu zishiriki timu mbili pekee inakuwa hivyo. Ikitokea simba imeshika nafasi ya tatu, ndiyo analeta siasa za kushiriki timu nne.
 
Back
Top Bottom