Kwani msimu ulipita zilikutana timu ngapi?Kati ya misimu miwili au mitatu tumeona ngao ya jamii ikigombaniwa na timu nne ila msimu huu ni timu mbili. Kwamba ikionekana simba na yanga hawakutani kwenye hiyo mechi kanuni ya timu nne ndio inafuatwa.
Msimu mwingine timu ya Azam au Singida utd iliyostahili kucheza ngao ya jamii italaumiwa vipi ikigoma ikiwa kutakuwa na timu nne?
Sikumbuki vizuri. Ila nakumbuka kuna misimu kama miwili timu nne ziligombania hiyo ngao.Kwani msimu ulipita zilikutana timu ngapiam?
Basi ufahamu Wallace Karia huwa anafanya hivyo kwa utashi wake. Akiamua msimu huu zishiriki timu mbili pekee inakuwa hivyo. Ikitokea simba imeshika nafasi ya tatu, ndiyo analeta siasa za kushiriki timu nne.Sikumbuki vizuri. Ila nakumbuka kuna misimu kama miwili timu nne ziligombania hiyo ngao.