Nimekaa nimetafakari nimegundua Walevi tuna umoja sana
Toka nitangaze kuacha pombe wengi wamenifuata inbox kuniomba nirudi kundini
Lakini kuna wengine wamenitisha sana tena hadharani
Kuna waliosema nikiacha pombe nitakufwa, kuna waliosema nikiacha pombe nitakua mchawi na kuna wengine wakafika mbali na kusema nitashindwa kupiga mnada
Sasa ili siwakwaze marafiki zangu nimeamua kurudi kundini. Naomba mnisamehe sintorudia
Nimekosa mimi, nimekosa sana. Kwa mawazo , kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu wangu wa kununua bia....