Huu ni ushahidi kuwa Tume ya Jaji Chande haipashwi kuaminiwa and it deserves to be thrown in the dust bin

Sikiliza ushahidi usio na mashaka kuwa that tume was a rubbish!
Mkuu yaani kwa hakika kabisa wewe ulikuwa na imani kwa hiyo tume?

Walivyo kataa kuwashirikisha wachunguzi wa kimataifa tangu siku hiyo nikajua kuwa hakuna jipya.
 
Mimi nilipoanza kuona wana pin point watu maalumu fulani hivi na wanakutana nao sehemu maalumu kama Sabaya, mara sijui Mzee Butiku na wapuuzi wengine....
 
Back
Top Bottom