Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
- Thread starter
-
- #21
[emoji38][emoji38][emoji38] kunyuti nao ni ushenzi hapo vipi [emoji23]Kuandika kwa kutoa povu nao pia ushenzi [emoji1787][emoji28] hapo vipi ngoma draw eeh harafu huyo nanyuti[emoji2957][emoji1751][emoji125]
Mbona kuguna tenaDoh!!
AiseeMi 5 tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nipo na mazungumzo na familia ya Marehemu mmoja aliyekataaga kunilipa Deni, walilipe wao. Wamehitaji Maevidenso nikawamwagia.Kudhurumu mabeki tatu...ni ushenzi
Kufia gest na mke/mume wa mtu..... ni ushenzi
Simu kuita kanisani...ni ushenzi
Kwenda kazini huku umelewa...ni ushenzi
Kumpiga sound anayekudai...ni ushenzii
Kuwadharau maskini .....ni ushenzi
Kuficha mvi kwa kupaka pico...ni ushenzi
Kuvuta sigara mbele za watu..ni ushenzi
Kuwachongea wenzako kazini...ni ushenzi pia
Kumpiga.mkeo ni..ushenzi wa hd
Mapenzi kabla ya ndoa ...ushenzi sana
Kuchat masaa ya kazi....ni ushenzi mkubwa
Kutohudhuria misibani ...ni ushenzi mkubwa