Huu ni ushenzi!!!!...narudia tena huu ni ushenzi!!!!

Huu ni ushenzi!!!!...narudia tena huu ni ushenzi!!!!

Kuna timu nasikia imeanzisha ligi ya timu 3 ....huu ni ushenzi
 
Kuandika kwa kutoa povu nao pia ushenzi [emoji1787][emoji28] hapo vipi ngoma draw eeh harafu huyo nanyuti[emoji2957][emoji1751][emoji125]
[emoji38][emoji38][emoji38] kunyuti nao ni ushenzi hapo vipi [emoji23]
 
Eeeeeh uwo ni ushenzii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi 5 tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kudhurumu mabeki tatu...ni ushenzi

Kufia gest na mke/mume wa mtu..... ni ushenzi

Simu kuita kanisani...ni ushenzi


Kwenda kazini huku umelewa...ni ushenzi

Kumpiga sound anayekudai...ni ushenzii

Kuwadharau maskini .....ni ushenzi

Kuficha mvi kwa kupaka pico...ni ushenzi

Kuvuta sigara mbele za watu..ni ushenzi

Kuwachongea wenzako kazini...ni ushenzi pia

Kumpiga.mkeo ni..ushenzi wa hd

Mapenzi kabla ya ndoa ...ushenzi sana

Kuchat masaa ya kazi....ni ushenzi mkubwa

Kutohudhuria misibani ...ni ushenzi mkubwa
Hapa nipo na mazungumzo na familia ya Marehemu mmoja aliyekataaga kunilipa Deni, walilipe wao. Wamehitaji Maevidenso nikawamwagia.

Ee Mungu nisaidie nisife na Deni.
Yeyote atakayepita hivi na Deni familia take italipia hata kizazi Cha Nne!
 
Back
Top Bottom