Huu ni utaalamu mpya au?

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Jamani hivi siku hizi Suala la Macho na Miwani limekuwa Biashara huria ama?mbona kila aumwae kichwa,au macho hakuna dawa tena sasa ni miwani strait!!Mbona zamani tulikuwa tunatafuta hata uongo wa sioni ili tu uvae miwani lakini ukifika Hosp Daktari anakupiga Ban la Haumwi huyu..sasa wale wataalamu wa zamani wako wapi?tusipoangalia Nchi nzima tutavaa miwani,na fremu za wauza miwani zinazidi kufunguliwa
 

kwakweli nashangaa sana hii kitu nadhani ni biashara ua mpango flani wa manyani
 
Ndio madhara ya utandawazi na soko huria kila kitu kimekuwa huria hadi afya za watu zinawekwa rehani! Take care.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…