Jamani hivi siku hizi Suala la Macho na Miwani limekuwa Biashara huria ama?mbona kila aumwae kichwa,au macho hakuna dawa tena sasa ni miwani strait!!Mbona zamani tulikuwa tunatafuta hata uongo wa sioni ili tu uvae miwani lakini ukifika Hosp Daktari anakupiga Ban la Haumwi huyu..sasa wale wataalamu wa zamani wako wapi?tusipoangalia Nchi nzima tutavaa miwani,na fremu za wauza miwani zinazidi kufunguliwa