Huu ni utabiri wangu Liverpool atakuwa bingwa Ligi uingereza

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka Wanajamvi!

2019 nilitabiri humu humu jamvin Liverpool itaifunga Barcelona 4-3 nusu fainali mechi ya marudio UEFA champions league na kuchukua UEFA dhidi ya Tottenham fainali.

Nilibezwa na kutukanwa kwasababu mzunguko wa kwanza Barcelona ilikuwa ikiongoza 3-0. Na ilikuwa favourite. Liverpool kusonga mbele fainali ilibidi ifunge Barca 4-0 na kabla ya mechi nilitabiri na ikawa hivyo.

Sasa leo natabiri bado tu liverpool ubingwa ni wao ligi kuu uingereza.

Manchester city mechi zake zilizosalia moja ata draw na nyingine atafungwa. Arsenal leo atafungwa na Tottenham na nyingine atadraw.

Na mechi zingine liverpool alizosalia atashinda zote na kutwaa ubingwa.

Senior JF local and international sports analyst and correspondent.

mkorea Chaliifrancisco MAWEED
 
Hivi hamjui kwamba bangi ni hatari kwa afya yako na kwa taifa?
 
Mkaldayoooo. Klopp kazingua hizi game chache zilizopita. Huu utabiri wako mathematically sawa ila inahitaji maajabu.
 
Huu ubingwa wa kutegemea mwenzio apoteze hauna tija. Liverpool alijichanganya kukubali kufungwa na timu dhaifu. Utafungwaje home na crystal palace? Utafungwaje kwenye Derby wakati wewe unatafuta ubingwa? Utatokaje draw na West ham? Hizi mechi zote alitakiwa ashinde!
 
Mzuka Wanajamvi!

2019 nilitabiri humu humu jamvin Liverpool itaifunga Barcelona 4-3 nusu fainali mechi ya marudio UEFA champions league na kuchukua UEFA dhidi ya Tottenham fainali.

Nilibezwa na kutukanwa kwasababu mzunguko wa kwanza Barcelona ilikuwa ikiongoza 3-0. Na ilikuwa favourite. Liverpool kusonga mbele fainali ilibidi ifunge Barca 4-0 na kabla ya mechi nilitabiri na ikawa hivyo.

Sasa leo natabiri bado tu liverpool ubingwa ni wao ligi kuu uingereza.

Manchester city mechi zake zilizosalia moja ata draw na nyingine atafungwa. Arsenal leo atafungwa na Tottenham na nyingine atadraw.

Na mechi zingine liverpool alizosalia atashinda zote na kutwaa ubingwa.

Senior JF local and international sports analyst and correspondent.

mkorea Chaliifrancisco MAWEED
Crap
 
Mkeka wako umeshachanika, leta matokeo ya Arsenal Vs Tottenham!!!!
 
LIVERPOOL ipi unayoizungumzia 🤔
 
Back
Top Bottom