Mzuka Wanajamvi!
2019 nilitabiri humu humu jamvin Liverpool itaifunga Barcelona 4-3 nusu fainali mechi ya marudio UEFA champions league na kuchukua UEFA dhidi ya Tottenham fainali.
Nilibezwa na kutukanwa kwasababu mzunguko wa kwanza Barcelona ilikuwa ikiongoza 3-0. Na ilikuwa favourite. Liverpool kusonga mbele fainali ilibidi ifunge Barca 4-0 na kabla ya mechi nilitabiri na ikawa hivyo.
Sasa leo natabiri bado tu liverpool ubingwa ni wao ligi kuu uingereza.
Manchester city mechi zake zilizosalia moja ata draw na nyingine atafungwa. Arsenal leo atafungwa na Tottenham na nyingine atadraw.
Na mechi zingine liverpool alizosalia atashinda zote na kutwaa ubingwa.
Senior JF local and international sports analyst and correspondent.
mkorea Chaliifrancisco MAWEED