Huu ni utabiri wangu Liverpool atakuwa bingwa Ligi uingereza

Kwamba huwa unakubali kufungwa ? Yaani mnapanga nani ashinde kama WWE
 
Mkuu hivi Matokeo ya ArsenalNDOO umeyapata au bado?
 
UTABIRI WAKO BADO UNAONA ITAWEZEKANA
 
Nilichogundua Ulaya mna mbegu za majani ya Chuga mkuu sio kwa ubaya lakini ni majani ya Mzuka...
Habari kaka.

Nipo Cape Town miezi kadhaa sasa,
Naulizia mchele gani mzuri niwe nanunua.
Nimejaribu kupika wali mara kadhaa unatoka vibaya, tena ukipoa unakua kama plastic.

Wewe unapokua South huwa unanununua mchele brandi gani mzuri?
Nilinunua huu hapa chini kila nikipika ukipoa unakua kama plastic.

Ama natakiwa ninunue ule mchele wa rangi ya brown? Ningejuaga ningebeba kilo 23 wakati natoka bongo.

 
OK sawa nenda maduka ya wahindi wana mchele wao unatoka India ni mzuri au nenda maeneo walipo wasomali wanajua sehemu za mchele mimi mwezi ujao ntakua JHB kama ntabeba mchele ntakujulisha ntakujulisha ntakutumia huko utarudisha hela ya kununua tu...
 
Au uulize maduka ya Wamalawi
 
Utabiri umekwama mpaka sasa, au tuendelee kuwa na matumaini?
 
Ikawaje pale London?
 
Ndoto za mchana mkuu, Klop alikuwa na nafasi ya kuchukua ubingwa ila alijichanganya wakamuovertake
 
Hizo kilo 23 ndio ungekula muda wote uliopo huko SA!?
 
Ndoto mchana kweupee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…