macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kabisa mkuu. Kuna wanaomdanganya eti akipa kitambulisho bila mwenye kitambulisho kuwepo ni sawa!hakikisha mwenye majina kwenye kadi ya gari anakuwepo tra wakati wa kufanya transfer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu. Kuna wanaomdanganya eti akipa kitambulisho bila mwenye kitambulisho kuwepo ni sawa!hakikisha mwenye majina kwenye kadi ya gari anakuwepo tra wakati wa kufanya transfer.
Sio lazima awepo mkuu, hizi biashara tunazifanya kila siku hapa mjini.Kikubwa mwenye kitambulisho awepo.
Mbona mnapotosha jamani? Mwenye gari siyo lazima awepo? Kama aliuawa na kuporwa vitambulisho, gari na kadi yake na sasa majambazi ndiyo wanalipiga bei? Kitambulisho kina maana gani basi kama mwenyewe hatakiwi kuwepo ila ni kopi ya kitambulisho chake tu? NB: Hata kama ulishafanikiwa ku-register bila mwenye kitambulisho kuwepo ni kosa!Mkuu huyo mwenye gari sio lazima awepo ila hakikiaha una passport size picha zake namba ya simu na kitambulisho chenye jina sawa na jina la kwenye kadi. Lakini sababu una mashaka fanya naye mazungumzo kabisa huyo mwenye jina kwenye kadi.
Kama amefariki kuna sahihi na halali za kuonyesha kuwa amefariki na mwenye kopi ya kitambulisho ndiye anatakiwa kuwa nacho. Narudia: hata kama ''hizo biashara'' mnazifanya kila siku lakini mnafanya kimakosa na kuna siku mtaingia kwenye matata.Sio lazima awepo mkuu, hizi biashara tunazifanya kila siku hapa mjini.
Nikuulize swali je, kama mwenye kitambulisho atakuwa ameshafariki itakuaje?
Ipo hivi, utakapoenda TRA kufanya transfer mwenye kitambulisho hua lazima apigiwe simu ili kuconfirm kama gari ameuza au vp, so kama anamshaka anatakiwa waende TRA ili waconfirm kabla ya kufanya biashara.Mbona mnapotosha jamani? Mwenye gari siyo lazima awepo? Kama aliuawa na kuporwa vitambulisho, gari na kadi yake na sasa majambazi ndiyo wanalipiga bei? Kitambulisho kina maana gani basi kama mwenyewe hatakiwi kuwepo ila ni kopi ya kitambulisho chake tu? NB: Hata kama ulishafanikiwa ku-register bila mwenye kitambulisho kuwepo ni kosa!
Na ndio maana huwa kuna mikataba pia mkuu, usifikir hizi biashara huwa zinafanyikia chini ya miti.Kama amefariki kuna sahihi na halali za kuonyesha kuwa amefariki na mwenye kopi ya kitambulisho ndiye anatakiwa kuwa nacho. Narudia: hata kama ''hizo biashara'' mnazifanya kila siku lakini mnafanya kimakosa na kuna siku mtaingia kwenye matata.
- Ongezea mkataba wa mauziano.Mkuu kama unanumua gari vitu muhimu ni picha ya passport, copy ya kutambulisho(uraia/Licence) na kadi og ya gari. Ukiwa na hizo doc kubadilisha umiliki ni chap tu
mshana na kwenye magari upo? [emoji2]HAPANA usikubali na unatakiwa kwenda mamlaka ya mapato kuthibitisha nyaraka na kama gari halina mikopo
Kweli mtoto anaweza iba hivyo vyote kutoka kwa wazazi wake alafu ukashikishwa wiziKabisa mkuu. Kuna wanaomdanganya eti akipa kitambulisho bila mwenye kitambulisho kuwepo ni sawa!
Tunapotosha kivipi mkuu. Nimesema apate mawasiliano na mwenye jina la kadi sasa kama unawasiliana nae si atakwambia kama aliibiwa? Nimeshafanya mara kadhaa hizi transfer pale TRA huwa wanataka mawasiliano ya mwenye gari anapigiwa simi sio lazima mwende nae sasa kama ningekuwa nakoseq nisingepata hizo transfer zote.Mbona mnapotosha jamani? Mwenye gari siyo lazima awepo? Kama aliuawa na kuporwa vitambulisho, gari na kadi yake na sasa majambazi ndiyo wanalipiga bei? Kitambulisho kina maana gani basi kama mwenyewe hatakiwi kuwepo ila ni kopi ya kitambulisho chake tu? NB: Hata kama ulishafanikiwa ku-register bila mwenye kitambulisho kuwepo ni kosa!
Uwepo wake unaweza kuonyeshwa kwa njia mbali mbali. Siyo lazima physically. Hata uwakilishi unaotambulikana kisheria. Cha muhimu ni ridhaa yake ipatikane kwa njia inayokubalika kisheria. Nilichokataa ni kuwa kitambulisho chake pekee kuweza kuwa ndiyo ridhaa yake kinapowakilishwa.Tunapotosha kivipi mkuu. Nimesema apate mawasiliano na mwenye jina la kadi sasa kama unawasiliana nae si atakwambia kama aliibiwa? Nimeshafanya mara kadhaa hizi transfer pale TRA huwa wanataka mawasiliano ya mwenye gari anapigiwa simi sio lazima mwende nae sasa kama ningekuwa nakoseq nisingepata hizo transfer zote.