Huu ni Utapeli wa Mapenzi au Ndio Upendo wenyewe ?

usijekusema mpenzi wako ombaomba hizo message ni articulation za kuelekezwa kibra..
 
Bado sijamla mkuu.
 
Umetaka mahusiano nae kakubali unaanza tena kusita. Sms za namna hiyo si kawaida hasa kwa penzi jipya au mimi ndio sielewi
Sasa mtu umenikubali wiki jana ushaanza kuongea vitu kama vile niko nawewe miaka minne. Wewe hushtuki ??😄😂
 
Kwenye mpira siku hizi Kuna kitu wanakiita HARAAM FOOTBALL, basi unaenda kupigiwa hiyo kitu, kule kwenye football ukipigiwa hiyo kitu basi Hadi kocha anasahau boksa uwanjani.
 
Kama ninapewa Mbususu, sitaki kuhangaika sana na mambomengine maana hata waliooa wanapewa mbususu kwa taratibu zile zile ujichekeshe chekeshe kama fala upewe tundu lakini Wengine wanapewa tu hata akisema..."Mama bhoke hebu tanua nikulenge"
Kwa iyo unataka udinye usepe
 
Umekwishaaa
 
Kingereza kinatia uvivu kusoma

Sorry wewe wa kiume ?
 
Hapo ni ngamia anawekwa kibri mashekhe waseme nae...🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…