Huu ni uthibitisho kuwa CCM ni chama cha kisulutani. Wenye pesa na watoto wa Vigogo ndio watalamba dodo

Hakuna atakaye nibishia kuwa CCM ya leo sio ya Wakulima na wafanyakazi kama alivyokiacha Mwalimu Nyerere.
πŸ‘‡
Vijana wa sisiemu hasa wanaotoka kwenye familia zisizo na majina ndio malimbukeni. Wanafikiri kuramba ramba miguu ya vigogo ndio watatoboa. Tunaishia kuchezewa kama tambara la deki. Siku tukikataa kuendekeza njaa za buku tano na tisheti maisha yatabadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…