Huu ni uthibitisho kuwa CCM ni chama cha kisulutani. Wenye pesa na watoto wa Vigogo ndio watalamba dodo

Huu ni uthibitisho kuwa CCM ni chama cha kisulutani. Wenye pesa na watoto wa Vigogo ndio watalamba dodo

Vijana wa sisiemu hasa wanaotoka kwenye familia zisizo na majina ndio malimbukeni. Wanafikiri kuramba ramba miguu ya vigogo ndio watatoboa. Tunaishia kuchezewa kama tambara la deki. Siku tukikataa kuendekeza njaa za buku tano na tisheti maisha yatabadilika.
Sounds like true
 
Futa usultani weka makenge na mambaa chama cha masultani kitabakia kuwa hakipogi popote duniani
 
Mwisho wa siku ni baba zao wali-hustle bila kuwa na mtu kwenye mfumo ili wao na watoto wao wale mema ya nchi.

Hii ni dunia nzima,Nyerere mwenyewe mwanae Makongoro yupo hapo sababu ya baba yake tu.
Umejibu vzr mtu anashindwa kupambana hata aingie ktk mfumo hata wa kata tu ,ili watoto wake wapite humo
 
Back
Top Bottom