Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
- Thread starter
-
- #21
Sounds like trueVijana wa sisiemu hasa wanaotoka kwenye familia zisizo na majina ndio malimbukeni. Wanafikiri kuramba ramba miguu ya vigogo ndio watatoboa. Tunaishia kuchezewa kama tambara la deki. Siku tukikataa kuendekeza njaa za buku tano na tisheti maisha yatabadilika.
Acha kutumia makalio kujibu hojaAcheni wivu wenu. Kwani Ninyi nani kawazuia kugombea.
Huyu nataka nimkazeHakuna atakaye nibishia kuwa CCM ya leo sio ya Wakulima na wafanyakazi kama alivyokiacha Mwalimu Nyerere.
👇
Hakuna cha Dodo hapa ,mda MwalimuHakuna atakaye nibishia kuwa CCM ya leo sio ya Wakulima na wafanyakazi kama alivyokiacha Mwalimu Nyerere.
👇
Wivu upi ,jimbo lako ni lipi ,mbona hutangazi nia au umeshutuka mapemaAcheni wivu wenu. Kwani Ninyi nani kawazuia kugombea.
Nakubaliana na wewe.Hizo ishu za chama cha wakulima na wafanyakazi ni swaga za zamani ambazo watu walipigwa ili kuunga mkono chama.
Acha upuuziumekatazwa kuchukua fomu??
Ulikuwa wapi mbona umechelewa au uliwahi viti maalumu na makundi maalumuAcheni wivu wenu. Kwani Ninyi nani kawazuia kugombea.
Achana na huyo pimbi.Ulikuwa wapi mbona umechelewa au uliwahi viti maalumu na makundi maalumu
chukua fomu mkuu, acha kulialia jfAcha upuuzi
Umejibu vzr mtu anashindwa kupambana hata aingie ktk mfumo hata wa kata tu ,ili watoto wake wapite humoMwisho wa siku ni baba zao wali-hustle bila kuwa na mtu kwenye mfumo ili wao na watoto wao wale mema ya nchi.
Hii ni dunia nzima,Nyerere mwenyewe mwanae Makongoro yupo hapo sababu ya baba yake tu.
Na yeye awe ktk mfumo baadae wanae wapete,JF watu wanalilia sanachukua fomu mkuu, acha kulialia jf
Kura wanapiga wenye njaa, si unawapa buku buku tu, kofia,tshirt , unakua umeshindaBasi hata kura wapigiwe na wenye hela na watoto wa vigogo!
Nani analialia au dole limeingia kunako?chukua fomu mkuu, acha kulialia jf
Huku sisi walimu tukijamba chakiWameona siasa ni kazi nyepesi ya kujipatia kipato, wote wanapambana kuwaingiza watoto wao kwenye siasa.
Acha matusiHuyu nataka nimkaze