Huu ni uthibitisho kuwa CCM ni chama cha kisulutani. Wenye pesa na watoto wa Vigogo ndio watalamba dodo

Huo mfumo na katiba Mbovu aliunda Mwalimu Nyerere .

Alikuwa anajihakikishia ulaji wake .

Africans leaders are so selfish
Kwa Nyerere umemsingizia mkuu; ccm ya Nyerere ilikua ya jembe na nyundo, kadi ya ccm those times ilikua ya thamani kuliko passport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…