Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Hongoreni wana Chadema Kwa kufanya uchaguzi Kwa utulivu na amani ,
Wadau wengi walikuwa wakiandika juu ya ushindi wa Lisu humu mitandaoni na maoni ya wengi yalikuwa yanaonesha kuwa Lisu atashinda.
Baadhi walikuwa wana wabeza eti wanasema haya akisi uhalisia kwakuwa watu wengi hawatumii mitandao.
Kitu ambacho wengi mnapaswa kujifunza Kwa Sasa watanzania wengi hawangalii na kusikiliza taarifa za habari.
Wengi hutumia simu zao kuzisaka habari hivyo wanauelewa mkubwa Kwa sababu wanapata habari ghafi ambazo hazijaeditiwa.
Hizi tv stations zetu na redio ni kwaajili ya habari za burudani muziki na michezo tu. Ukitaka kujielimisha na kupata habari mitandao nahusika sana.
Kongore Kwa mitandao.