Huu ni uthibitisho Serikali imetuacha Wananchi wake

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Serikali ipo wapi? Watu tunashindwa kulala. Watu tunashndwa kufanya kazi zetu kwa amani. Hali imekuwa mbaya sana. Na inashangaza rais anasafiri anatuacha katika hali hii. Hatujui hili suala litaisha lini. Tumebaki tu kuunia na kuugulia maumivu kwa haya mateso.

Joto limekuwa joto dar es salaam. Si mchana si usiku. Hatuna amani hatuna furaha.hata tendo la ndoa kwa sasa tunafanya kiubishi. Serikali imenyamaza tu kama hailioni suala hili.

Usiku wengi tumeanza kulala nje. Serikali haitujali wananchi wake.tunaungua tu kwa joto. Hata kama hili suala halikuwepo kwenye ilani lakini limejitokeza bas lishughulikiwe.
 
Policcm wamejaa mabarabarani hatuendeshi magari yetu na bodaboda zetu kwa furaha
 
Kwa hilo jambo la joto na kukosa furaha ya tendo la ndoa serikali ikusaidie vipi sasa?!
 
Makamanda wa policcm wanatema vitisho na kunyesha marisasi mitaani na mabarabarani kama mvua ya mawe tunaogopa kutembea mitaani na mabarabarani
 
Hofu hofu wananchi hatuna uhuru wa kutoa maon juu ya selikali yetu. Ukisema tu unapotezwa.
 
Kijijini kwetu hatukupewa umeme wa REA tuko gizani kosa letu eti hatukumchagua mgombea wa CUF- Lipumba kuwa mwenyekiti wetu
 
Subiri Sizonje Amefata maarifa Kwa mbabe akirudi Serekali haiwezi kuwatupa mtanyooka vizuri
 
Mchungaji wetu anafuatiliwa na TRA kwa kujilimbikizia mali ibada kanisani imedolola
 
Serikali ipo wapi? Watu tunashindwa kulala. Watu tunashndwa kufanya kazi zetu kwa amani. Hali imekuwa mbaya sana. Na inashangaza rais anasafiri anatuacha katika hali hii. Hatujui hili suala litaisha lini. Tumebaki tu kuunia na kuugulia maumivu kwa haya mateso.

Joto limekuwa joto dar es salaam. Si mchana si usiku. Hatuna amani hatuna furaha.hata tendo la ndoa kwa sasa tunafanya kiubishi. Serikali imenyamaza tu kama hailioni suala hili.

Usiku wengi tumeanza kulala nje. Serikali haitujali wananchi wake.tunaungua tu kwa joto. Hata kama hili suala halikuwepo kwenye ilani lakini limejitokeza bas lishughulikiwe.
Sasa swala la ongezeko la joto rais hapo anahusika vipi au wewe kufanya tendo la ndoa kwa mbinde anahusikaje hapo au anataka aje kukubembelezeee? Wakati mwingine mutoe lalamiko lenye tijasio kulalamika tuu kumhusisha mh rais na mambo yako ya chumbani
 
Zidumu fikra za mwenyekiti
 
hahaa kweli ccm oyeee...

ila nyinyi mnaosema kuwa mungu anahuruma ..mbona anatuunguza hvi na jua haoni kuwa tunaumia au ..huruma yake IPO mahala gani ??
 
Back
Top Bottom