Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Serikali ipo wapi? Watu tunashindwa kulala. Watu tunashndwa kufanya kazi zetu kwa amani. Hali imekuwa mbaya sana. Na inashangaza rais anasafiri anatuacha katika hali hii. Hatujui hili suala litaisha lini. Tumebaki tu kuunia na kuugulia maumivu kwa haya mateso.
Joto limekuwa joto dar es salaam. Si mchana si usiku. Hatuna amani hatuna furaha.hata tendo la ndoa kwa sasa tunafanya kiubishi. Serikali imenyamaza tu kama hailioni suala hili.
Usiku wengi tumeanza kulala nje. Serikali haitujali wananchi wake.tunaungua tu kwa joto. Hata kama hili suala halikuwepo kwenye ilani lakini limejitokeza bas lishughulikiwe.