Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Policcm wamejaa mabarabarani hatuendeshi magari yetu na bodaboda zetu kwa furahaSerikali ipo wapi? Watu tunashindwa kulala. Watu tunashndwa kufanya kazi zetu kwa amani. Hali imekuwa mbaya sana. Na inashangaza rais anasafiri anatuacha katika hali hii. Hatujui hili suala litaisha lini. Tumebaki tu kuunia na kuugulia maumivu kwa haya mateso.
Joto limekuwa joto dar es salaam. Si mchana si usiku. Hatuna amani hatuna furaha.hata tendo la ndoa kwa sasa tunafanya kiubishi. Serikali imenyamaza tu kama hailioni suala hili.
Usiku wengi tumeanza kulala nje. Serikali haitujali wananchi wake.tunaungua tu kwa joto. Hata kama hili suala halikuwepo kwenye ilani lakini limejitokeza bas lishughulikiwe.
LIVIVUChizi Maarifa online
Sasa swala la ongezeko la joto rais hapo anahusika vipi au wewe kufanya tendo la ndoa kwa mbinde anahusikaje hapo au anataka aje kukubembelezeee? Wakati mwingine mutoe lalamiko lenye tijasio kulalamika tuu kumhusisha mh rais na mambo yako ya chumbaniSerikali ipo wapi? Watu tunashindwa kulala. Watu tunashndwa kufanya kazi zetu kwa amani. Hali imekuwa mbaya sana. Na inashangaza rais anasafiri anatuacha katika hali hii. Hatujui hili suala litaisha lini. Tumebaki tu kuunia na kuugulia maumivu kwa haya mateso.
Joto limekuwa joto dar es salaam. Si mchana si usiku. Hatuna amani hatuna furaha.hata tendo la ndoa kwa sasa tunafanya kiubishi. Serikali imenyamaza tu kama hailioni suala hili.
Usiku wengi tumeanza kulala nje. Serikali haitujali wananchi wake.tunaungua tu kwa joto. Hata kama hili suala halikuwepo kwenye ilani lakini limejitokeza bas lishughulikiwe.
Zidumu fikra za mwenyekitiSasa swala la ongezeko la joto rais hapo anahusika vipi au wewe kufanya tendo la ndoa kwa mbinde anahusikaje hapo au anataka aje kukubembelezeee? Wakati mwingine mutoe lalamiko lenye tijasio kulalamika tuu kumhusisha mh rais na mambo yako ya chumbani
kweli ??Uhamiaji hivi majuzi walifika kwa baba paroko, misa ilihailishwa