Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Wakuu hili jambo la ajabu sana kwa taasisi inayojinadi kwamba inatoa elimu fulani halafu inademonstrate kiwango kibovu kabisa kwenye taaluma hiyo hiyo.
VETA wanaendesha kozi za Web Designing na Development, cha ajabu na ambacho kwangu ni kituko kikubwa ni website ya VETA -- Vocational Education and Training Authority -- VETA -- kwa kifupi ni kichefuchefu.
Unakutana na front page ina WORD ART na contents hazionekani. Kama hukuwa makini kuona kuwa kuna scroll bars kulia na chini, basi unaweza kudhania hamna kitu. Kumbe kichefuchefu cha contents kimefichika. Yaani ni sawa na kuwa na presentation ya A3 kwenye screen ya A4.
Kwa institution kubwa namna ile, yenye vitengo lukuki halafu unakuwa na website shallow as if ni wanafunzi wa wiki ya kwanza wanajaribu jambo kwa kweli ni aibu. Just kick the link to see kichefuchefu cha chuo kinachofundisha Graphic Design, Web Designing, blah blah blah!
Hii nchi imeoza kila sehemu na sasa inanuka. Kazi za kupeana ndio shida yake hii, wote tunaonekana hatuna akili