Huu ni uwongo wa mchana kweupe, nakataa katakata

Mojo kwa moja kwenye mada"

Kumekuwa na takwimu inasambazwa kwenye magroup mbalimbali ya michezo eti Mnyama mkali kuliko wote mwituni ndie anaongoza kwa kupiga pasi nyingi.

Mimi kama mwana simba nasema huo ni uwongo wa kutaka kubalance mambo hasa baada ya kuonekana haya majamaa {utopolo} yanaupiga mwingi mpaka unamwagikia.

Tumeona wote namna timu pinzani zinavyoteseka tangu sekunde ya kwanza mpaka ya mwisho, eti leo mtu anakuja na vitakwimu simba anaongoza kwa passes? Sote tunaona mpira wetu ambavyo umekuwa wa mashaka japo tunashinda, ila kusema tumewazidi passes uto?

Hili ni hapana, nipo tayari kutukanwa na kuitwa uto mteule, ila ukweli yale majamaa yanatisha haki!
Leta zako hapa sasa....
 
Tuwekee wewe takwimu zilizo sahihi ili umkomeshe huyo mpika takwimu vinginevyo kaa kimyaaaaa kama unakunya vile.
 
Nikae kimya? acha udwanzi wewe! soka linaonekana, usilete ushabiki vitumbua hapa, yaani bora hata shabiki maandazi angeliona hilo.
 
Back
Top Bottom