Huu ni wakati kwa vyama vyote kuhakiki vituo vya kupigia kura kwa mujibu wa orodha ya NEC

Huu ni wakati kwa vyama vyote kuhakiki vituo vya kupigia kura kwa mujibu wa orodha ya NEC

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Muda ndio huu na muda ni mfupi sana ni wakati sasa vyama vyote kuhakiki na kujiridhisha na vituo idadi ya vituo vilivyithibitishwa na nec mkaakikishe je mandingo A kipo wapi, mandingo B kipo wapi na Mandingo C kipo wapi kwa nchi nzima na hadhi na ubora wakeili kuweza kujiepusha na malalamiko yanayoweza kutokea huko mbeleni ohh kulikuwa na vituo feki mara laaa so Hakikini hilo muda huu,
 
Back
Top Bottom