K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Apr 15, 2025 #1 Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru. Kwana wengine wanaweka utani lakini waelewa wanajua huu ndiyo wakati hasa mashujaa wa karne hii watatokea. Si punde watu wataamka usingizini na kuona haya
Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru. Kwana wengine wanaweka utani lakini waelewa wanajua huu ndiyo wakati hasa mashujaa wa karne hii watatokea. Si punde watu wataamka usingizini na kuona haya
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Apr 15, 2025 #2 Watawala wa chama chawala wakisoma haya wanaogopa sana
M movirwa JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 399 Reaction score 389 Apr 15, 2025 #3 Na woga wao unawafanya wazidi kufanya mambo ya hovyo na ya aibu. Hii no baraka iliyofichama (blessing in disguise)
Na woga wao unawafanya wazidi kufanya mambo ya hovyo na ya aibu. Hii no baraka iliyofichama (blessing in disguise)