system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Sijui tunakwama wapi. Ila deep inside Kiswahili ni lugha dhaifu sana yaani sio stable hata hivyo sio romantic hata kibiashara ni weak sana.
Hata ukitongoza demu kwa Kiswahili na jamaa mwingine akatongoza kwa English; yule wa Kiswahili ni likely kupigwa chini mara elfu zaidi na kukubaliwa wa English hata kama hana hela.
Mtaani tumekubali kuna mifumo miwili ya elimu:
English medium na Swahili medium lakini bado hatutaki kukubali kuwa Kiswahili inakwama Duniani. Hata NECTA wana mitihani miwili same class.
Hata thinking capacity English ina accelerate thinking capacity Kiswahili hudumaza.
Deep inside Kiswahili ni ajenda ya wakubwa kuendelea kufifisha ndoto za watu masikini....ndio maana watoto wao hawasomi shule za Kiswahili lakini wao wana promote Kiswahili.
Watu masikini shitukeni na demand English iwe ni lugha rasmi ya Taifa pamoja na Kiswahili ili watoto wenu wasiendelee kubaki wapiga kura.
Kwenye Kiswahili tunapigwa!