Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Jan 21, 2024 #21 bullar said: Ana misimamo huyu kocha sio wa kupelekwewa vi memo Click to expand... Makocha wa aina hii hawawapendi ndio tatizo
bullar said: Ana misimamo huyu kocha sio wa kupelekwewa vi memo Click to expand... Makocha wa aina hii hawawapendi ndio tatizo
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Jan 21, 2024 #22 kina kirefu said: Kwasasa hatuhitaji Tena makocha wakigeni Tupate wachezaji wakigeni kutoka mataifa tofauti tofauti duniani Kama ,msumbiji tuwape uraia wapige kazi Click to expand... Hiyo nihatua. Ifikie mahali uraia pacha kwenye michezo uruhusiwe ili raia wenye asili ya tz waweze kuchezea team ya taifa
kina kirefu said: Kwasasa hatuhitaji Tena makocha wakigeni Tupate wachezaji wakigeni kutoka mataifa tofauti tofauti duniani Kama ,msumbiji tuwape uraia wapige kazi Click to expand... Hiyo nihatua. Ifikie mahali uraia pacha kwenye michezo uruhusiwe ili raia wenye asili ya tz waweze kuchezea team ya taifa
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Jan 22, 2024 #23 Huyu ni kocha ajae wa national team of France ni swala la muda tu