Huu ni wakati wa kumpa timu ya taifa Herve Renard

Huu ni wakati wa kumpa timu ya taifa Herve Renard

Kwasasa hatuhitaji Tena makocha wakigeni

Tupate wachezaji wakigeni kutoka mataifa tofauti tofauti duniani

Kama ,msumbiji tuwape uraia wapige kazi

Hiyo nihatua. Ifikie mahali uraia pacha kwenye michezo uruhusiwe ili raia wenye asili ya tz waweze kuchezea team ya taifa
 
Huyu ni kocha ajae wa national team of France ni swala la muda tu
 
Back
Top Bottom