Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Katiba mpya itazuia mapungufu ya kila aina ambayo yanasabisha hili taifa kuibiwa na kuporwa kama shamba la bibi.
Katiba mpya itawapa wananchi nguvu ya kuzuia, kurekekebisha na kukataa uovu wa kila namna ndani ya taifa lao. Mfano kukaataa na kupinga utawala unaokumbatia ufisadi kwa kuzuia au kuitisha chaguzi zenye uhalali.