FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Hapa hakuna wivu wala nini,huyo mwanamke hana heshima tuu tangu kuzaliwa kwake!!
Maumivu mengine ya moyo huwa ni makubwa sana. Usikute mwanamke alikuwa housewife, jamaa kajinyima kampa mtaji wa biashara ili kuongeza kipato cha familia. Badala ya kusimamia vema biashara sasa kaona ana pesa, kiburi kimeanza na bia za kila siku juu!
Siku akifilika itabidi huyo mume amtafutie kazi ya u-house girl kwa wahindi ndipo atashika adabu!
Huyo shemejio amepata watu ambao anawaona ni muhimu kuliko mdogo wako, na wamechukua nafasi yake totally!
Solution, iteni watu wa karibu katika familia, kama hatawsikiliza na hao, basi huyo ni sikio la kufa!.
Nakushauri ukakutane na shemeji yako bila hata ya mdogo wako kujua, then anzia hapo naungana na wengi kuwa ni mpaka pale utapojua fikra na mawazo ya upande wa pili ndipo utakapokuwa na nafasi ya kuwasaidia.
Swali ni je hii ndoa ina watoto? wangapi na wa umri gani?
Nataka nipate maelezo yake binafsi kama dogo alivyonipa yake binafsi akiwa huru na nimshauri kama akinielewa itakua hamna haja ya kesi. Mie nimeoa dada.kwann usiombe ukutane nao wote maan kukutana na mmoja tu si unajua mvutakamba uvutia kwake?ww kutana nao sikiliza malalamiko yao then waambie wasuruhishe,lkn ww umeoa?kama hujaoa plz DONT TRY THIS![QUOTE=Mchili;798737]Naona nionane nae kwanza nikiona haelekei niwashirikishe wazee kama ni dogo alianzisha matatizo itajulikana, Wana watoto wawili, 7yr na 3yr[/QUOTE
Ni kweli jamaa anafanya kazi na aliona ili kumuweka wife busy afungue biashara, sasa kinachomuuma wife hamsikilizi ati yeye sio mtoto.
Nataka nipate maelezo yake binafsi kama dogo alivyonipa yake binafsi akiwa huru na nimshauri kama akinielewa itakua hamna haja ya kesi. Mie nimeoa dada.
Mdogo wangu kaniajia ana matatizo katika ndoa yake waliyofunga miaka nane iliyopita. Anasema liwalo na liwe hata kama ni kuvunja ndoa hiyo ivunjike kama mkewe hatafuata utaratibu wake.
?
Well ningependa kujua wamefunga ndoa ya aina gani?
Yuko busy na kazi na anaijali familia yakeNa mwanaume anatabia gani, it could be ana nyumba ndogo hurudi home alfajiri.....
Inawezekana, point takenBelieve me huyo mwanamke tayari kaonyeshwa mji na wafanyabiashara wenzie, kajazwa ujinga kwamba yeye ni mzuri na wala hastahili kuwa na mwanaume hohe hahe kama mumewe. Kaunganishwa kwa pedeshee mmoja mwenye simu nne, cheni shingoni, mbwembwe nyingi lakini mwenye hela za kuuunga unga na gundi.
Mnatakiwa mumuwahi mapema kabla hajatapeliwa hata huo mtaji wa biashara! Take my words! Hili ni jiji!