Huu ni wivu au ni msimamo mkali?

Huu ni wivu au ni msimamo mkali?

Mdogo wangu kaniajia ana matatizo katika ndoa yake waliyofunga miaka nane iliyopita. Anasema liwalo na liwe hata kama ni kuvunja ndoa hiyo ivunjike kama mkewe hatafuata utaratibu wake.

Hawa wanandoa wana duka ambalo mkewe ndio anasimamia. Siku za karibuni mkewe ameanza tabia akifunga duka saa 12 jioni anapitia bar na marafiki zake wanapata mbili tatu bia ndio anarudi nyumbani - hata saa tatu mpaka tano usiku. Jamaa amemind na kumtaka aache mtindo huo na bibie nae kaja juu ati yeye sio mtoto mdogo kwani hafanyi chochote kibaya anapokua na marafiki zake. Siku hizi hata akumwambia ampitie wakati wa kurudi nyumbani mkewe hataki hivyo jamaa anahisi mapenzi yamepungua au yamehama.

Sasa jamaa anasema amechoka na tabia hii na anatake achukue hatua yoyote hata kama ndoa itavunjika basi kieleweke kwani haoni raha kuwa na mke asiyempa kampani.

Kabla sijamshauri la kufanya naomba mawazo yenu wana JF, mnaionaje hii ni wivu tu wa jamaa au bibie anaweza kuwa na lake jambo?

Masikilizano ndani ya nyumba ni muhimu ili kuendelea na ndoa ya amani. Hii tabia na shemejio haikuwako miaka ya nyuma ni tabia ambyo ameanza hivi karibuni. Nakubaliana na mdogo wako kama mkewe hataki kubadilisha tabia yake ya kupita sehemu sehemu ili kupata moja moto moja baridi na hivyo kutomtii mumewe basi ndoa hii ina dosadi kubwa ambayo inaweza kusababisha kuvunjika kwa ndoa hiyo.
 
Tell your friend I can be a private detective... lets find out what is she doing exactly.. If its just drink then may be she might be going through difficult phase but if she is doing other illegal conduct within marriage then he can file for a divorce 🙄
 
Maumivu mengine ya moyo huwa ni makubwa sana. Usikute mwanamke alikuwa housewife, jamaa kajinyima kampa mtaji wa biashara ili kuongeza kipato cha familia. Badala ya kusimamia vema biashara sasa kaona ana pesa, kiburi kimeanza na bia za kila siku juu!

Siku akifilika itabidi huyo mume amtafutie kazi ya u-house girl kwa wahindi ndipo atashika adabu!
hahaha

sasa kama huyu jamaa yenu haweki bia nyumbani... itabidi mamii apite baa...
 
Sasa jamaa anasema amechoka na tabia hii na anatake achukue hatua yoyote hata kama ndoa itavunjika basi kieleweke kwani haoni raha kuwa na mke asiyempa kampani.
Nakushauri,
mwambie mdogo wako akae na mkewe wote wawili wakiwa wazima(bila kilevi) waongee! Naamini wataelewana. Wasipofika muafaka basi mwambie mdogo wako asiwe-driven na emotions kuamua hatima yao bali akae chini akiwa fresh kiakili na aamue atakavyo! Kuachana sio tatizo. Ampe muda mwanamke wa kutafakari. Labda amekubwa na pepo wa pombe! Huraaaaaaaaaaaaaay!
 
bar mwanamke mwenye ndoa mppaka sa 5?huyo wa wapi?chakula cha mumewe anapika nani,wanakaa sa ngapi nyumbani na kuongea yaliyojiri mchana kutwa na kuusu biashara inavyoenda?nadhani kuna tatizo but isije ikawa mdogo wako ndo chanzo cha matatizo ebu akueleze ukweli,mind u kila jambo liwe neno au action afanyayo mwanamke inamaana tek it seriously.
This is what is called double standard... yani mnashangaa mwanamke kukaa baa mpaka saa 5? Lakini angekuwa mwanaume anakaa huko bar mpaka hizo time would u say same thing?...

This is what we call equality... waacheni tuu nawao wanyenyeswe, it is their turn I guess (thumbs up for the lady)

May be she is not happy at home, why would she wanna go back early...
 
Mdogo wangu kaniajia ana matatizo katika ndoa yake waliyofunga miaka nane iliyopita. Anasema liwalo na liwe hata kama ni kuvunja ndoa hiyo ivunjike kama mkewe hatafuata utaratibu wake.

Hawa wanandoa wana duka ambalo mkewe ndio anasimamia. Siku za karibuni mkewe ameanza tabia akifunga duka saa 12 jioni anapitia bar na marafiki zake wanapata mbili tatu bia ndio anarudi nyumbani - hata saa tatu mpaka tano usiku. Jamaa amemind na kumtaka aache mtindo huo na bibie nae kaja juu ati yeye sio mtoto mdogo kwani hafanyi chochote kibaya anapokua na marafiki zake. Siku hizi hata akumwambia ampitie wakati wa kurudi nyumbani mkewe hataki hivyo jamaa anahisi mapenzi yamepungua au yamehama.

Sasa jamaa anasema amechoka na tabia hii na anatake achukue hatua yoyote hata kama ndoa itavunjika basi kieleweke kwani haoni raha kuwa na mke asiyempa kampani.

Kabla sijamshauri la kufanya naomba mawazo yenu wana JF, mnaionaje hii ni wivu tu wa jamaa au bibie anaweza kuwa na lake jambo?

Hapa hakuna wivu ila inaonekana mama hawajabiki na huenda hako kaduka kakafa kwa mtindo huo. Jamaa atafute wazee wampe kitchen party mama. Anachofanya haitendei haki familia yake. Mama kurudi home usiku wa manane ataangalia familia vipi. Wanawake wengine bwana, jamaa akitafuta nyumba ndogo atasemaje?
 
This is what is called double standard... yani mnashangaa mwanamke kukaa baa mpaka saa 5? Lakini angekuwa mwanaume anakaa huko bar mpaka hizo time would u say same thing?...

This is what we call equality... waacheni tuu nawao wanyenyeswe, it is their turn I guess (thumbs up for the lady)

May be she is not happy at home, why would she wanna go back early...
well said
 
hahaha

sasa kama huyu jamaa yenu haweki bia nyumbani... itabidi mamii apite baa...

Hata yeye anaweza kununua beers zake na kuja kuutwika nyumbani mtungi wake.
 
ero murra kama ni wewe muhusika tuambieee ukweli usizuge suge murraa!! duuu, nani huwa anamfungulia mlango huyo shori???, eebw. hii ndo limbwata au!!!siamini iiiiiiiiiiii mbado muraa, lol naomba nielekeze hiyo baa na duka lenu liliko mura
 
Ishu kama hii sio ya kuomba ushauri, ni kuchukua hatua.....Hivi alianzaje kurudi nyumbani haid saa tano?
Kama bado hajachukua hatua basi hakustahili kuoa!
 
Kwa vyovyote iwavyo hapa kuna tatizo,ingawa jamii itamuona mwanamke hawajibiki lakini pia mume anaweza kuwa ndo chanzo cha tatizo.Jamaa anatakiwa kujua kiundani ni kwa nini wife ghafla amekuwa nahiyo tabia,pia si vibaya akawaona wazee waingilie kati kabla yakuamua kuivunja ndoa.Kwa uzoefu wangu hakuna kitu hatari kwa mstakabari wa familia kama mama mwenye nyumba kuwa mlevi,jamaa anatakiwa kuwa makini sana wakati huu la sivyo atajikuta ameharibu kila kitu kwa uamuzi wa siku moja.
 
This is what is called double standard... yani mnashangaa mwanamke kukaa baa mpaka saa 5? Lakini angekuwa mwanaume anakaa huko bar mpaka hizo time would u say same thing?...

This is what we call equality... waacheni tuu nawao wanyenyeswe, it is their turn I guess (thumbs up for the lady)

May be she is not happy at home, why would she wanna go back early...

Anakaa bar mpaka saa tano usiku!!!!!!!!!!je wajariwa kupata watoto? nani anawaangalia watoto kama mama yupo bar mpka saa tano usiku? kama anawatoto jamaa asiumize kichwa atafute house girl mzuri naaliyetulia ashike nyumba yake vyema amwache mama aendelee na kuuza duka na kupata kilaji na marafiki baada ya kuuza duka mpaka saa tano.
 
show me ur friend i will tell u who ur tatizo hapo kubwa ni marafiki alionao mke kukaa baa mpaka saa tano ucku na mashoga huyu virus anavunja na kuharibu sana ndoa akishaingia tu mke aambiliki
 
huu si wivu wala si msimamo mkali bali huyu mwanamke anachofanya si sahihi kabisa katika jamii, huyu mume anahaki ya kuwa na wasiwasi pombe tu, kweli anawazimu.
 
Kimsingi wanandoa inabidi washauriane wapatane lakini hili naona kuna kasoro natatizo linaanzia kwa marafikizake!!na kipatokuongezeka!!Hapo ajiangalie sana siku nyingine atalala nje nakumwambia mimisiyo mbuzi wakuchungwa bwana!!!nakilizangu sijafanya lolote baya nilikolala!!!
 
too much is sumu jamani hartakama babakakosea anavyo fanya hivyo sio syluhisho .they must talk .ku solve tatizo
 
Back
Top Bottom