Arsenalist
Member
- Oct 4, 2013
- 74
- 46
Kwa waliomaliza certificate mwezi may mwaka huu! Walipotaka kujiunga waliambiwa watume maombi. Vijana walidownload matokeo wakaambatanisha vikapokelewa. Walipoanza masomo Chuo kikasema hakitambui matokeo yao mpaka walipie 10000/= kwa ajili ya statement of results. Nilishangaa ila ilibidi nitoe. Baada ya muda Chuo kikasema kilikosea ilibidi iwe 5000/= lakini hakuna cheji. Sasa najiuliza huu si wizi wa mchana watu kutengeneza matumbo yao? Na serikali eti sikivu ipo. Dah.
Serikali yetu haifai hadi hao watu wake walio TIA, HESLB na maeneo mengine yenye vitendo vya hivyo.
Serikali yetu haifai hadi hao watu wake walio TIA, HESLB na maeneo mengine yenye vitendo vya hivyo.