Huu ni wizi wa mchana kweupe

Tuna doctor wa uchumi Tz ndio kaja na huu ubunifu
 
Kwa mbaaaaliii,naona huu ni mkakati wa kuwafanya wananchi waichukie serikali. Kila utapogusa ni tozo!
 
Hawa jamaa wanajifanya wajanja sana kwani hiyo tozo wameiweka makusudi halafu kwenye bajeti ya 2024/2025 wanaitoa ili ionekane Mama shujaa mumpe kura.
 
Nchi nyingine zenye waandishi wa vyombo vya habari wanaojitambua Kama mhimili wa nne wa nchi wangeshakataa kutangaza habari zote zitazotolewa na madelu na wizara yake ya uporaji na huenda wangeandaa mijadala kwenye tv na magazeti ya kumshinikiza aliyemteua amfute kazi mara moja Kisha apeke mswada bungeni wa kufuta tozo zote na ikimpendeza amuonye mwanasheria mkuu wa serikali na spika Kwa kitendo Chao Cha kumharibia image yake Kwa wananchi!
Madam, shtuka! AG, waziri wa fedha na spika ni sukuma fc Wana hidden agenda juu Yako 2025.
 
As usual, this will also pass by hence paving way for more to come. Mere complaints won't help !!
 
200% truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…